2840; Hatupendi mambo magumu.

By | October 10, 2022
2840; Hatupendi mambo magumu. Kitu kimoja kuhusu sisi binadamu ni hiki, huwa hatupendi mambo magumu. Huwa tunapenda mambo rahisi kuyaelewa na kufanyia kazi. Na ndiyo maana matapeli huwa wana ushawishi mkubwa kwa watu. Kwa sababu huwa wanaelezea mambo kwa urahisi kabisa ambao mtu anaelewa. Ndiyo maana pia mambo yanayohusu burudani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In