2842; Usitapeliwe tena.

By | October 12, 2022
2842; Usitapeliwe tena. Utapeli hautakuja kuisha duniani kwa sababu tatu; Moja, watu siyo waaminifu. Huwa wapo tayari kutumia njia yoyote hata isiyokuwa halali ili tu kupata wanachotaka. Mbili, watu hawapendi kufanya kazi. Hivyo hutafuta njia ya mkato ya kupata wanachotaka bila kuweka kazi. Tatu, watu wanapenda kufuata mkumbo. Wakiona wengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In