#SheriaYaLeo (346/366); Mtazamo Wa Utoto.

By | October 12, 2022
#SheriaYaLeo (346/366); Mtazamo Wa Utoto. Kama tutakuwa wa kweli kuhusu maisha yetu, wengi wetu tutakubali kwamba hakuna jipya kwenye maisha yetu. Kila kitu kinaonekana cha kawaida na hakuna kinachotushangaza. Kuna kitu kikubwa tunajua kinakosekana kwenye maisha yetu, lakini ni vigumu kujua ni kipi hasa. Kujaribu kuondokana na hali hiyo, huwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz