#SheriaYaLeo (353/366); Kuwa na haraka na matamanio.

By | October 19, 2022
#SheriaYaLeo (353/366); Kuwa na haraka na matamanio. Unapokuwa na muda mwingi wa kufanya kitu, huwa inakuwa rahisi kuahirisha kufanya kitu hicho, kwa kujiambia utafanya kesho. Tunapokuwa na muda mwingi huwa tunaishia kuupoteza kwa usumbufu na mambo yasiyokuwa na tija kwetu. Inakuwa vigumu kuweka umakini wetu wote kwenye yaliyo muhimu na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In