2848; Lengo, Sifa, Maboresho.

By | October 18, 2022
2848; Lengo, Sifa, Maboresho. Hivyo ni vitu vitatu vinavyoweza kukufanya kuwa kiongozi bora kabisa kutokea. Ni vitu unavyopaswa kuvifanya kwako na kwa wote unaowaongoza. Kwanza unaanza na lengo, nini hasa unachotaka kupata? Au matokeo gani yanapaswa kupatikana? Lengo lazima liwe wazi na kueleweka na wote wanaohusika. Na liweze kuelezewa kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz