2854; Ng’ang’ana mpaka ufanikiwe.

By | October 24, 2022
2854; Ng’ang’ana mpaka ufanikiwe. Wanaofanikiwa na wanaoshindwa wote huanza sawa. Huwa wanaanza na ndoto kubwa walizonazo. Kisha wanachukua hatua kwenye ndoto hizo. Katika kuchukua huko hatua huwa wanakutana na changamoto na vikwazo mbalimbali. Na hapa ndipo wanaofanikiwa na wanaoshindwa wanapotofautiana. Wanaoshindwa huwa wanakata tamaa haraka pale wanapokutana na vikwazo na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In