2863; Kama huuzi unafanya nini?

By | November 2, 2022
2863; Kama huuzi unafanya nini? Kwako rafiki yangu mpendwa uliye kwenye biashara. Unajua kabisa kwamba mauzo ndiyo namba ya kwanza na muhimu kwenye biashara. Unajua bila mauzo hakuna fedha na bila fedha hakuna biashara. Haya yote unayajua bila ya shaka yoyote. Lakini bado huuzi. Je unategemea nini? Unajipa sababu mbalimbali.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In