2871; Maajabu, hakuna anga.

By | November 10, 2022
2871; Maajabu, hakuna anga. Kwako rafiki yangu unayedhani kuna vitu haviwezekani kwenye maisha yako. Jibu ni moja tu, hakuna chochote kisichowezekana kwenye maisha yako. Wazungu huwa wana kauli inayosema; sky is the limit. Wakimaanisha anga ndiyo ukomo. Lakini unapokuja kuangalia, anga ni nini? Anga ni mwisho wa macho yetu kuona.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In