2905; Wanakudanganya.

By | December 14, 2022
2905; Wanakudanganya. Kwako rafiki yangu mpendwa unayeshangazwa na jinsi ambavyo watu wanabadilika na kudanganya. Unakuta unawaamini sana watu, lakini ghafla wanakuja kubadilika na kuwa wadanganyifu. Ni vigumu sana kwa watu kubadilika ghafla. Watu huwa wanang’ang’ana sana na tabia zao. Hivyo kama kuna mtu unaona amebadilika, kwa sehemu kubwa anakuwa hajabadilika,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In