2906; Kukosa subira kunakuponza.

By | December 15, 2022
2906; Kukosa subira kunakuponza. Kwako rafiki yangu mpendwa unayekata tamaa haraka pale unapokuwa huoni matokeo unayotaka licha ya kuweka juhudi kubwa. Kuweka juhudi ni sehemu moja muhimu katika mafanikio. Na ndilo eneo pekee ambalo una udhibiti nalo. Kuwa na subira ni eneo jingine muhimu sana kwenye safari ya mafanikio, eneo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz