MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
3016; Usiwe wa kawaida.
3016; Usiwe wa kawaida.Rafiki yangu mpendwa,Kwa chochote unachofanya kwenye maisha yako, usikubali kuwa mtu wa kawaida.Watu wa kawaida huwa wanaweza kuonekana ni wema kwenye jamii, lakini huwa hawapati mafanikio makubwa.Mafanikio makubwa huwa yanapatikana kwa kufanya mambo kwa utofauti na ukubwa kuliko ilivyozoeleka.Mafanikio makubwa ni zao la kwenda kinyume na kundi