3017; Rudia rudia.

By | April 5, 2023
3017; Rudia rudia.Rafiki yangu mpendwa,Ni kanuni na sheria ya asili kwa vitu kujirudia rudia kwa muda mrefu bila kuchoka wala kukata tamaa.Jua huchomoza na kutua kila siku, majira ya mwaka hujirudia kila mwaka.Na hata kwa miili yetu, kula, kujisafisha na mengine muhimu huwa tunayarudia mara kwa mara.Lakini sasa, cha kushangaza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz