3083; Piga kelele.

By | June 10, 2023
3083; Piga kelele.Rafiki yangu mpendwa,Kwenye kitabu cha CHUO CHA MAUZO nimeandika; ustaarabu pekee kwenye biashara ni kuuza.Nimeandika hivyo kwa sababu kuna baadhi ya watu wanajiona ni wastaarabu sana hivyo kuna baadhi ya mambo hawawezi kufanya kwenye biashara.Halafu kwa bahati mbaya sana, wanakuwa hawauzi.Yaani mtu anajifanya mstaarabu, wakati hafanyi mauzo anayopaswa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz