1554; Kuonekana Na Kukua…
Kuna njia mbili za kuyaendesha maisha yako, Njia ya kwanza na inayopendwa na wengi ni njia ya kuonekana, hapa unafanya vitu ili uonekane na wengine kwamba unafanya. Hivyo unafanya kile ambacho wengine wanafanya, na unafanya zaidi vitu vinavyoleta matokeo ya muda mfupi hata kama vina madhara kwa muda mrefu. Njia (more…)
