2240; Marehemu Alisema…
Nakumbuka wakati tuko shule ya msingi, kama mwalimu alitoa kazi na hujaifanya, ulikuwa unatafuta kisingizio ili kukwepa adhabu. Kisingizio rahisi ilikuwa ni kuangalia mwanafunzi ambaye hajaja shule siku hiyo na kusema alichukua daftari yako. Watu wasiokuwepo na ambao hawawezi kujitetea, huwa wanasingiziwa vitu vingi mno. Vingi ya hivyo huwa siyo (more…)
