Category Archives: KURASA ZA MAISHA

Kila siku mpya kwenye maisha yako ni sawa na ukurasa mpya wa kitabu.
Kwa kila siku mpya unachagua ufanye nini na maisha yako.
Kupitia makala hizi za KURASA ZA MAISHA, utajifunza mambo muhimu ya kufanya ili uwe namaisha bora zaidi.
Makala hizi za kurasa zinakujia kila siku.

3284; Kuanza na kumaliza.

By | December 28, 2023

3284; Kuanza na kumaliza. Rafiki yangu mpendwa, Watu wamekuwa wanaanzisha vitu vingi kuliko ambavyo wanavimaliza au kuvikamilisha.Hiyo ni kwa sababu kuanza ni rahisi kuliko kumaliza. Japokuwa pia kuanza huwa kunaweza kuwa kugumu kwa baadhi ya watu, wale ambao tayari wana msukumo wa kufanya, huwa wanaanza bila shida. Tatizo huwa linakuja (more…)

3282; Unapojikwamisha mwenyewe.

By | December 26, 2023

3282; Unapojikwamisha mwenyewe. Rafiki yangu mpendwa,Kuna maeneo mengi huwa tunakwama kwenye maisha kwa sababu ya watu ambao tunajihusisha nao. Huwa ni rahisi kuona kwamba watu hao ndiyo wanaotukwamisha.Lakini ukweli ni kwamba sisi wenyewe ndiyo tunaojikwamisha. Watu wapo kama walivyo na wataendelea kuwa walivyo bila ya kujali wewe unataka nini.Kama kwa (more…)

3281; Tatizo ni kujidanganya.

By | December 25, 2023

3281; Tatizo ni kujidanganya. Rafiki yangu mpendwa,Kitu kimoja kinachowakwamisha watu wengi sana wasipate kile wanachotaka ni kujidanganya wao wenyewe. Wanakuwa wameanza kwa kuwadanganya wengine, mpaka wanafikia kujidanganya wao wenyewe. Uzuri ni kwamba, matokeo huwa hawadanganyi, yanaweka kila kitu dhahiri kabisa. Matokeo ambayo yanapatikana ndiyo ukweli wenyewe, bila ya kujali mtu (more…)

3280; Kwa msimamo bila kuacha.

By | December 24, 2023

3280; Kwa msimamo bila kuacha. Rafiki yangu mpendwa,Inapokuja kwenye mafanikio, watu wanaijua kanuni ya mtu kujua kile hasa unachotaka na unachopaswa kufanya ili kukipata. Na watu wanafanya hivyo kweli.Wanakuwa wanaju mafanikio wanayotaka kuyapata.Na pia wanajua wanachopaswa kufanya ili kuyapata.Na hata kufanya wanafanya.Lakini hawayapati mafanikio waliyotegemea kuyapata. Kinachokuwa kimewakwamisha ni kutozingatia (more…)

3279; Uhakika wa ushindi.

By | December 23, 2023

3279; Uhakika wa ushindi. Rafiki yangu mpendwa,Watu wamekuwa wanahangaika sana kupata ushindi, lakini wamekuwa hawaupati. Hiyo ni kwa sababu wengi wamekuwa hawauelewi ushindi.Wanahangaika na mengi na kutaka kupata matokeo makubwa na ya haraka.Wakichelewa kupata matokeo wanayotaka, wanaacha na kwenda kwenye kitu kingine. Uhakika wa ushindi siyo kupata kile unachotaka, bali (more…)

3278; Mafanikio na kupendwa.

By | December 22, 2023

3278; Mafanikio na kupendwa. Rafiki yangu mpendwa,Mtu tajiri kuliko wote duniani kwa zama tunazoishi sasa, Elon Musk, ndiye mtu asiyependwa zaidi.Hilo ni jambo la kushangaza, hasa ukizingatia mambo makubwa na yenye manufaa anayokazana kufanya. Anatengeneza magari ya kutumia umeme na hivyo kutatua changamoto ya nishati na kutunza mazingira. Anarahisisha safari (more…)

3276; Siyo kufanya, bali kuacha.

By | December 20, 2023

3276; Siyo kufanya, bali kuacha. Tim Grover alikuwa Kocha wa aliyewahi kuwa mchezaji bora wa mpira wa kikapu, Kobe Brayant.Alikuwa pia Kocha wa wachezaji wengine bora kama Michal Jordan na wengineo.Kazi yake kubwa imekuwa ni kuwajengea wachezaji mtazamo sahihi wa ushindi. Hapa kuna swala la wachezaji bora sana, ambao walikuwa (more…)

3275; Wasioweza kuishi bila wewe.

By | December 19, 2023

3275; Wasioweza kuishi bila wewe. Rafiki yangu mpendwa,Safari ya mafanikio imekuwa ngumu sana kwa wengi kwa sababu wanapoteza rasilimali zao kwenye mambo yasiyokuwa na tija. Unakuta mtu anakazana kumfikia kila mtu na kukubalika na watu wote.Siyo tu kwamba hilo linakuwa haliwezekani, bali pia linawapoteza hata wale wazuri ambao wangefaa.Kwa mtu (more…)

3274; Hatari ya mafanikio.

By | December 18, 2023

3274; Hatari ya mafanikio. Rafiki yangu mpendwa,Tunapambana sana kufanikiwa, lakini hakuna kitu ambacho ni hatari kwenye maisha kama mafanikio. Hatari ya mafanikio inaanzia ndani ya mtu na kutoka nje yake pia.Hatari ya nje kwenye mafanikio ni kushambuliwa na wengine, ambao kwa sehemu kubwa wanakuwa wanakuonea wivu. Hatari ya ndani ya (more…)