2510; Kwa nini hubadiliki?
2510; Kwa nini hubadiliki? Kuna nukuu moja maarufu sana inayosema; miaka mitano ijayo utakuwa mtu yule yule uliye sasa isipokuwa kwa watu utakaokutana nao na vitabu utakavyosoma. Ni kauli rahisi lakini yenye funzo na maana kubwa sana. Kwamba mafanikio yetu kwenye maisha yanatokana na mabadiliko yanayotokea kwenye maisha yetu. Mabadiliko (more…)
