Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MANENO KIDOGO, KAZI ZAIDI…

By | July 16, 2020

“The less you speak, the more you will work.” – Leo Tolstoy Kuna sheria moja ya siri ambayo wawekezaji wakubwa wamekuwa wanaitumia. Sheria hiyo ni kwamba ukimuona mkurugenzi mkuu (CEO) au mwanzilishi (Founder) wa kampuni anaonekana akiongea sana kwenye vyombo vya habari, ni wakati wa kuondoa uwekezaji wako kwenye kampuni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; ANAYEONGEA SANA SIYO MFANYAJI…

By | July 15, 2020

“The person who speaks much will seldom fulfill all his words in his actions. A wise person is always wary lest his words surpass his actions.” — CHINESE WISDOM Mtu anayeongea sana huwa siyo mfanyaji, Ni vigumu sana mtu kuweza kutekeleza kila anachosema kama anasema sana. Mtu mwenye hekima ni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; HAKUNA KIPYA…

By | July 12, 2020

Marcus Aurelius wanted us “to bear in mind constantly that all of this has happened before. And will happen again—the same plot from beginning to end, the identical staging.” Kila kinachotokea sasa, kilishatokea tena huko nyuma. Hakuna kitu kipya kinachotokea hapa duniani. Mambo ni yake yake, yanajirudia kwa sura tofauti. (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAHITAJI NYAKATI NGUMU…

By | July 11, 2020

“There should be a science of discontent. People need hard times and oppression to develop psychic muscles.” — Frank Herbert Moja ya nadharia za mageuzi inasema kiungo cha mwili kinachotumika sana huwa kinakuwa imara huku kile kisichotumika kikiwa dhaifu na hata kupotea kabisa. Na njia rahisi ya kupima hilo ni (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO WINGI WA TAARIFA, BALI UNAZITUMIAJE…

By | July 9, 2020

“We live in the age of philosophy, science, and intellect. Huge libraries are open for everyone. Everywhere we have schools, colleges, and universities which give us the wisdom of the people from many previous millennia. And what then? Have we become wiser for all this? Do we better understand our (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO KUWASHINDA WAO, BALI KUJISHINDA MWENYEWE…

By | July 8, 2020

“Pay bad people with your goodness; fight their hatred with your kindness. Even if you do not achieve victory over other people, you will conquer yourself.” — HENRI AMIEL Unapolipa ubaya kwa wema, Unapolipa chuki kwa upendo, Lengo siyo kuwashinda wale wanaokufanyia hayo, Bali lengo ni kujishinda wewe mwenyewe. Mpumbavu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; KAZI BORA ZINAFANYIKA KWENYE UTULIVU…

By | July 7, 2020

“Without great solitude, no serious work is possible.” — Pablo Picasso Bila ya utulivu, huwezi kufanya kazi ambayo ni bora. Bila ya kuondokana na kelele na usumbufu mwingine wa akili yako, haiwezi kutulia na kuja na mawazo bora. Wanasayansi, wanafalsafa, waandishi, wajasiriamali na watu wengine, huwa wanapata mawazo bora pale (more…)