Category Archives: TABIA ZA MAFANIKIO

KUAHIRISHA MAMBO; Jinsi ya kuondoa tabia ya kuahirisha mambo.

By | December 16, 2014

Tabia ya kuahirisha mambo ni adui mkubwa sana wa kufikia mafanikio makubwa. Hii ni tabia ambayo ipo kwa watu wengi na ni tabia rahisi sana kuifuata kutokana na asili ya binadamu ya kutopenda kufanya mambo yanayochosha au kuumiza. Kwa bahati nzuri ni kwamba unaweza kuondokana na tabia hiyo ya kuahirisha (more…)

Hasara Za Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | December 9, 2014

Katika kujijengea tabia za mafanikio mwezi huu wa kumi na mbili tunajadili jinsi ya kuachana na tabia ya kuahirisha mambo. Tabia ya kuahirisha mambo ni tabia ambayo imeathiri watu wengi sana na kuwafanya washindwe kufikia malengo yao. Wiki iliyopita tuliona maana ya tabia ya kuahirisha mambo na kwa nini watu (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kuondoa Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | December 2, 2014

Karibu tena msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA katika kipengele hiki cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Kwa zaidi ya miezi sita sasa tumekuwa tukijadili jinsi ya kujijengea tabia ambazo zitatuwezesha kufikia mafanikio. Moja ya sababu kubwa kwa nini watu wengi hawafanikiwi licha ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa (more…)

KUJIAMINI; Kanuni Ya Kujijengea Kujiamini.

By | November 25, 2014

Karibu tena msomaji kwneye kipengele cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Mwezi wa kumi na mwezi wa kumi na moja tulikuwa tunajadili jinsi ya kujijengea tabia ya kujiamini. Katika makala zilizopita tumeona mambo mengi muhimu ya kuzingatia ili kuweza kujijengea tabia hii ya kujiamini. Pia tuliona umuhimu wa tabia (more…)

KUJIAMINI; Madhara Ya Kujiamini Na Kutokujiamini.

By | November 18, 2014

Habari za leo mwana mafanikio? Karibu kwenye kipengele cha tabia za mafanikio na mwezi huu tunaendelea na kujijengea tabia ya kujiamini. Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, kujiamini ni muhimu sana ili uweze kufikia mafanikio makubwa. Kama utakosa kujiamini utakuwa umejiwekea kikwazo kikubwa sana kuweza kufikia mafanikio. Leo tutajadili madhara ya (more…)

KUJIAMINI; Uhusiano Kati Ya Kujiamini Na Mafanikio Mkubwa.

By | November 11, 2014

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba kujiamini ni kiungo muhimu sana cha mtu kuweza kufikia mafanikio makubwa. Ukiangalia, watu wengi waliofanikiwa wanajiamini kwa kiasi kikubwa. Japokuwa kuna watu ambao wanajiamini ila hawana mafanikio na pia kuna watu ambao wana mafanikio makubwa ila hawajiamini kabisa. Pamoja na hayo, kujiamini kunakuongezea nafasi ya kufikia (more…)

Mazoezi Ya Kujijengea Kujiamini.

By | November 4, 2014

Karibu mpenzi msomaji kwenye kipengele cha kujenga tabia za mafanikio na mwezi wa kumi na wa kumi na moja tunajenga tabia ya kujiamini. Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, kijiamini ni kiungo muhimu sana cha kuweza kufikia mafanikio makubwa. Pia tuliona njia mbalimbali za kujijengea tabia ya kujiamini. Leo tutajadili mazoezi (more…)

KUJIAMINI; Mambo Yanayojenga Na Kubomoa Kujiamini.

By | October 28, 2014

Wakati unaendelea kujijengea tabia ya kujiamini ni muhimu kujua kwamba mambo unayofanya kila siku yanaweza kuwa yanakujengea kujiamini zaidi au yanabomoa kujiamini kwako. Leo tutajifunza mambo au tabia ambazo kama unapenda kuzifanya zinaweza kuwa zinakuongezea kujiamini au zinaondoa kujiamini. Mambo au tabia ambazo yatakujengea kujiamini. 1. Kuwa na mtu mzuri (more…)

KUJIAMINI; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Kujiamini.

By | October 21, 2014

Kujiamini ni tabia ambayo kila mtu anaweza kujijengea kama anavyoweza kujijengea tabia nyingine. Katika makala zilizopita tuliona nini maana ya kujiamini na faida za kujiamini. Kwenye makala ya leo tutaangalia jinsi unavyoweza kujijengea tabia ya kujiamini. Awali ya yote kujijengea kujiamini sio kitu ambacho kitatokea mara moja, bali itakuchukua muda (more…)

KUJIAMINI; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Kujiamini.

By | October 21, 2014

Kujiamini ni tabia ambayo kila mtu anaweza kujijengea kama anavyoweza kujijengea tabia nyingine. Katika makala zilizopita tuliona nini maana ya kujiamini na faida za kujiamini. Kwenye makala ya leo tutaangalia jinsi unavyoweza kujijengea tabia ya kujiamini. Awali ya yote kujijengea kujiamini sio kitu ambacho kitatokea mara moja, bali itakuchukua muda (more…)