KUJIAMINI; Uhusiano Kati Ya Kujiamini Na Mafanikio Mkubwa.

By | November 11, 2014
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba kujiamini ni kiungo muhimu sana cha mtu kuweza kufikia mafanikio makubwa. Ukiangalia, watu wengi waliofanikiwa wanajiamini kwa kiasi kikubwa. Japokuwa kuna watu ambao wanajiamini ila hawana mafanikio na pia kuna watu ambao wana mafanikio makubwa ila hawajiamini kabisa. Pamoja na hayo, kujiamini kunakuongezea nafasi ya kufikia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In