2604; Kiashiria kwamba umepotea.
2604; Kiashiria kwamba umepotea. Kwenye safari ya mafanikio, kiashiria kikubwa kwamba umeshapotea njia ni pale unapojikuta upo upande wa wengi. Iko hivi rafiki, kwenye kila jamii, huwa kuna upande wa wengi, ambao wanakubaliana kwenye mengi ila hawafanikiwi. Halafu kuna upande wa wachache ambao hawakubaliani na yale ya wengi na ndiyo (more…)
