2305; Vitu vinne vinavyoathiri kipato chako.

By | April 23, 2021

2305; Vitu vinne vinavyoathiri kipato chako. Kuna kanuni mbili muhimu sana za kipato ambazo unapaswa kuzizingatia katika safari yako ya utajiri na mafanikio. Kanuni ya kwanza ni unalipwa kulingana na thamani unayozalisha. Kanuni ya pili ni hupaswi kuweks ukomo kwenye kipato chako. Kwa kuzifuata kanuni hizi mbili vizuri, utaweza kuongeza (more…)

#TAFAKARI YA LEO; VUNJA MAZOEA…

By | April 23, 2021

Chochote unachorudia kufanya kwa muda mrefu, huwa unakijengea tabia na kuanza kukifanya kwa mazoea. Inafika wakati unakifanya bila hata ya kufikiria kabisa. Ni vizuri kwa akili yako maana inapunguza mengi ya kufanya, lakini ni mbaya kwa ubunifu na ufanisi. Ukishafanya kwa mazoea huwezi kuja na ubunifu mpya. Kwa kuwa mazoea (more…)

2304; Alama Tatu Za Umasikini…

By | April 22, 2021

2304; Alama Tatu Za Umasikini… Kitu kikubwa kinachowatifautisha masikini na matajiri siyo kinachoonekana, bali kisichoonekana. Kwa maana kuwa zile sababu wengi wanafikiri ndiyo zinawatofautisha siyo, bali namna ya kufikiri ndiyo inawatofautisha. Wanavyofikiri matajiri ni tofauti kabisa na wanavyofikiri masikini na hapo ndipo tofauti inapoanzia. Kuna alama kubwa tatu za umasikini (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIJIDANGANYE MWENYEWE…

By | April 22, 2021

Ni rahisi kuwadanganya wengine kwa sababu hawajui kilicho ndani yako. Lakini unapoanza kuwadanganya wengine, inakuwa rahisi kujidanganya wewe mwenyewe pia. Unaweza kuwa na sababu nzuri ya kuwapa wengine ili wasikusumbue, lakini kamwe usije ukaisaha sababu ya kweli ya wewe kufanya unachofanya. Maana ukishaanza kujidanganya mwenyewe, unakuwa kwenye njia mbaya. Ukurasa (more…)

Thamini kinachopotea…

By | April 21, 2021

“Mostly it is loss which teaches us about the worth of things.” – Arthur Schopenhauer Kwenye maisha ya kawaida huwa tunathamini zaidi vitu ambavyo kuna hatari ya kuvipoteza. Mfano ukiambiwa ofa ya kitu inaisha, unakithamini zaidi na kuhakikisha unakipata. Lakini inapokuja kwenye maisha yako mwenyewe, mbona hutumii hilo? Mbona upoteze (more…)

2303; Kujiunga na kundi, kukimbia kundi…

By | April 21, 2021

2303; Kujiunga na kundi, kukimbia kundi… Binadamu huwa hatupendi kuona tunafanya kitu kwa kulazimishwa. Huwa tunapenda kufanya kile ambacho tumechagua wenyewe. Na hiyo ndiyo sababu kwa nini baadhi ya watu wako tayari kufanya mambo ambayo yana madhara kwao, ili tu kuonesha wamechagua wenyewe. Tukiielewa saikolojia hii ya binadamu, itatusaidia kwenye (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WAELEWE WATU KAMA UNAVYOIELEWA ASILI…

By | April 21, 2021

Huwa unaielewa asili na kwenda nayo kama inavyoenda. Hung’ang’ani kuilazimisha ibadilike na kwenda kama unavyotaka wewe. Kama ulitaka sana jua liwake, lakini mvua ndiyo ikanyesha, huhangaiki kulazimisha jua liwake, bali unaenda na vile mvua inavyonyesha. Lakini inapokuja kwa binadamu hufanyi hivyo, unataka wawe vile unavyotaka wewe, na kulazimisha kwa namna (more…)

2302; Jumbe Zinazokinzana…

By | April 20, 2021

2302; Jumbe Zinazokinzana… Katika kujifunza na kupata ushauri mbalimbali, unakutana na jumbe za aina nyingi. Kuna baadhi ya jumbe zitakuwa zinakinzana. Mmoja anakuambia kifanya kitu A ni sahihi, mwingine anakuambia kitu A siyo sahihi. Je katika hali kama hiyo unapaswa kuchukua hatua gani? Hapo wengi hukwama, kwa sababu hung’ang’ania jumbe (more…)