#TAFAKARI YA LEO; MAGUMU YANAKUIMARISHA…
“Man needs difficulties. They are necessary for health.” – Carl Jung Huwa hatupendi kukutana na magumu kwenye maisha, Lakini magumu hayo ni muhimu sana kwetu, Kwa sababu ndiyo yanayotuimarisha. Mti unaoota eneo ambalo ni gumu, hakuna maji, kuna upepo mkali huwa unakuwa mti imara kuliko unaoota eneo lenye maji mengi (more…)
