2162; Kufyeka Au Kung’oa?

By | December 1, 2020

Wengi wetu tumetokea familia zinazojihusisha na kilimo au tunafanya kilimo. Hivyo tunaelewa vizuri sana kuhusu magugu yanapokuwa shambani. Magugu huwa yanazuia mazao yaliyopandwa yasipate virutubisho na kukua vizuri, kwa sababu yananyonya rasilimali nyingi za ardhi. Ukitaka kuondoa magugu shambani, kuna njia mbili unaweza kutumia. Njia ya kwanza ni kuyafyeka au (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NI KAMARI GANI HIYO UNAYOCHEZA?

By | December 1, 2020

“Change your life today. Don’t gamble on the future, act now, without delay.” — Simone de Beauvoir Chochote unachopanga kufanya kwenye maisha yako, kifanye sasa. Kwa sababu huu ndiyo wakati pekee ambao una uhakika nao kwenye maisha yako. Hutapata wakati mwingine kama sasa. Ni rahisi kujiambia utafanya kesho, Lakini kumbuka (more…)

2161; Njaa, Hasira, Upweke Na Uchovu…

By | November 30, 2020

Kamwe usifanye maamuzi ukiwa kwenye hali hizo nne. Kwani maamuzi utakayoyafanya ukiwa kwenye hali hizo, huishia kuwa maamuzi mabovu na yatakayokugharimu mno. Hali hizo huwa zinaondoa kabisa uwezo wa akili kufikiri kwa umakini na kufikia maamuzi sahihi. Unapofanya maamuzi kwenye hali hizo, unakuwa umesukumwa zaidi na hisia kuliko kufikiri. Kila (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USILAZIMISHE MAMBO YAWE UNAVYOTAKA…

By | November 30, 2020

“People who try to force circumstances become their slaves. Those who use them become their masters.” —The Talmud “There is nothing in this world more tender and more pli able than water, yet hard and rigid things cannot resist it.” – Lao Tzu Usilazimishe mambo yawe kama unavyotaka wewe, Bali (more…)

2160; Anza Na Wewe, Kisha Soko, Kisha Biashara…

By | November 29, 2020

Kuna njia kuu mbili ambazo zimekuwa zinatumiwa na wengi kuingia kwenye biashara. Njia ya kwanza ni mtu anapata wazo fulani la biashara, anaona ni wazo jipya ambalo halijawahi kufanyiwa kazi, anasukumwa kuanza kulifanyia kazi. Changamoto kubwa ya njia hii ni mara nyingi mawazo mapya huwa hayana soko, unaweza kuwa na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; PAMBANA NA KILICHO MBELE YAKO…

By | November 29, 2020

“Concentrate every minute like a Roman—like a man— on doing what’s in front of you with precise and genuine seriousness, tenderly, willingly, with justice.” – Marcus Aurelius “Stick to what’s in front of you—idea, action, utterance.” — Marcus Aurelius Mafanikio kwenye maisha hayatokani na yale unayofanya, bali yanayokana na jinsi (more…)

2159; Kutaka Kuibadili Dunia…

By | November 28, 2020

Kutaka kuibadili dunia ni kauli ambayo imekuwa inatumiwa na watu wengi. Wengi hujiambia ndoto yao ni kutaka kuibadili dunia, kupitia kile wanachofanya. Lakini wengi siyo tu huwa wanashindwa, bali wanaishia kuiharibu dunia. Dunia haihitaji kubadilishwa, dunia imekuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. Wajibu wetu sisi ni kuielewa dunia na kisha kuyafanya (more…)