💥 #TAFAKARI YA LEO; ANAYEAHIDI KILA KITU….

By | March 22, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Siku ya leo tunaiendea tunaiendea kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ANAYEAHIDI KILA KITU, Huyu, hakuna (more…)

UKURASA WA 811; Upo Muda Wa Kutoa, Lakini Haupo Wa Kurudisha…

By | March 21, 2017

Upo muda wa kutoa neno, wa kuongea kwa namna unavyotaka na unavyojisikia wewe mwenyewe. Lakini unachopaswa kujua kabla ya kufanya hivyo ni kwamba, ukishaongea huwezi kurudisha maneno yako, huwezi kuyafuta. Hata wale wanaoambiwa fura kauli, ni neno tu la kuridhisha lakini kila mtu atakumbuka ulisema nini. Hivyo basi, usiwe mtu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO ; KUULIZA NI UJANJA….

By | March 21, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine nzuri sana kwetu ambapo tumepata nafasi ya kipekee kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo makubwa. Siku hii ya leo twende tukaweke NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUULIZA NI UJANJA…. Waswahili (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; FIKIRI UNACHOFIKIRI…

By | March 20, 2017

Habari rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ili tuweze kupata matokeo bora sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUFIKIRI UNACHOFIKIRI. Kama ipo kazi ngumu sana hapa duniani, basi kazi hiyo ni kufikiri. Kufikiri (more…)

UKURASA WA 810; Kinachowasukuma Watu Kufanya Wanachofanya…

By | March 20, 2017

Nini kinakuamsha asubuhi na mapema ili uwahi kwenye kazi au biashara yako? Au kipi kinakufanya uchelewe kurudi nyumbani au uchelewe kulala kwa kuwa kwenye kazi au biashara yako? Hili ni swali muhimu sana ambalo kwa kuliangalia kwa undani utaona nani anaweza kufanya makubwa na hata kufanikiwa. Ipo misukumo mbalimbali inayowafanya (more…)

UKURASA WA 809; Kama Huna Muda Sasa, Hutakuwa Na Muda Baadaye…

By | March 19, 2017

Kisingizio cha sina muda kimekuwa kinatumika na watu ambao hawapo tayari kuchukua hatua kwa wakati ambao wanao. Wanaona siku zijazo watakuwa na muda mwingi zaidi wa kufanya kile wanachotaka kufanya. Lakini muda huwa hauendi hivyo, kama huna muda sasa, hutakuwa na muda baadaye pia. Kwa sababu hakuna muda zaidi unaopatikana, (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; UNA NINI HAPO ULIPO?

By | March 19, 2017

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana na kuweza kufikia ndoto zetu. Asubuhi ya leo tutafakari UNA NINI HAPO ULIPO SASA? Watu (more…)

Mbinu za kisaikolojia za ustoa; kutengeneza taswira hasi.

By | March 18, 2017

  Ni tabia ya binadamu kuwa na hamu na kuthamini kitu sana kabla ya kukipata, lakini akishakipata thamani yake inashuka. Ukichukulia watu wanaoshinda bahati nasibu, siku za kwanza wanakuwa na furaha lakini haidumu, wanarudi kwenye maisha yao ya kawaida. Pia mtu anaweza kusoma miaka mingi, akafaulu, akaomba kazi akiwa na (more…)

Wastoa wa Roma.

By | March 18, 2017

  Wastoa wa roma ndiyo waliochangia sana ukuaji wa falsafa ya ustoa. Japo wapo wanafalsafa wengi wa roma, wanne wamekuwa na mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wa falsafs hii. Wa kwanza alikuwa Seneca, huyu ni mstoa aliyetambulika kwa kuandika sana. Ndiye mstoa ambaye maandiko yake mengi yamepona mpaka sasa. Aliandika (more…)

Wastoa wa kwanza.

By | March 18, 2017

  Falsafa ya ustoa ilianzia nchini Ugiriki. Zeno aliyeishi miaka 333–261 kabla ya kuzaliwa kristo, ndiye baba wa ustoa. Alianza kuvutiwa na falsafa kupitia vitabu ambavyo baba yale alikuwa akimletea asome. Baadaye alienda maktaba kujifunza zaidi kuhusu falsafa na alitaka kujifunza kupitia Socrates. Hapo ndipo alipokutana na mwanafalsafa Crates ambaye (more…)