UKURASA WA 213; Moja Tu Sio Mbaya.

By | August 1, 2015
Unajua ni kitu gani kinachokufanya unaendelea kufanya kile ambacho umepanga kuacha kufanya? Moja tu, sio mbaya. Umeamua kwamba hutaki tena kunywa pombe, lakini unapita karibu na baa au unakutana na marafiki zako wanakunywa, na wanakuambia kunywa moja tu, sio mbaya, hutakufa na wala hutaharibu chochote. Lakini moja tu inapelekea nini???

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz