Je Umepata Kitabu Chako?

By | March 23, 2015
Siku kadhaa zilizopita niliweka ujumbe ambao nilikuomba wewe kama msomaji uwatumie watu wa tano kwenye email zao. Na pia niliahidi ukifanya hivyo nitakupa zawadi ya kitabu kinachohusu mabadiliko. Watu wengi walitikia ombi lile na ujumbe ulitumwa kwa watu wengi sana. Jana kitabu kilikamilika na wewe uliyetuma ujumbe kwa wengine ulikuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In