Tag Archives: NENO LA LEO

NENO LA LEO; Jambo Muhimu La Kufanya Wakati Unapia Magumu.

By | March 27, 2015

“In the darkest hours we must believe in ourselves.” ― Terry Goodkind Katika nyakati ngumu, unatakiwa kujiamini wewe mwenyewe. Kila mmoja wetu anapitia nykati ngumu kwenye maisha yake. Inaweza kuwa kwenye kazi, kwenye biashara, kwenye familia na hata maeneo mengine muhimu kwenye maisha yako. Huu ni wakati ambapo malengo na (more…)

NENO LA LEO; Kitu Kimoja Kinachoangusha Watu Wengi Kuliko Vingine Vyote.

By | March 26, 2015

“Fear defeats more people than any other one thing in the world.” ― Ralph Waldo Emerson Hofu inaangusha watu wengi kuliko kitu kingine chochote duniani. Hofu ndio inaua ndoto za watu wengi sana. SOMA; Hizi ndio Hofu mbili ulizozaliwa nazo, nyingine ni uongo. Hofu ndio inawafanya wengi washindwe kuchukua hatua (more…)

NENO LA LEO; Kinachoamua Maisha Yako Sio Unachozungumza, Bali Hiki…

By | March 25, 2015

It’s not what you say out of your mouth that determines your life, it’s what you whisper to yourself that has the most power!” ― Robert T. Kiosaki Sio kile unachoongea ndio kinabadili maisha yako, ni kile unachojinongoneza mwenyewe ndio kina nguvu kubwa. Unaweza kuzungumza chochote unachopenda mbele ya watu. (more…)

NENO LA LEO; Acha Kupoteza Nguvu Zako Kwenye Kitu Hiki Unachopenda Kufanya.

By | March 24, 2015

“Don’t waste your energy trying to change opinions … Do your thing, and don’t care if they like it.” ― Tina Fey, Bossypants Usipoteze nguvu zako kwa kujaribu kubadili maoni ya wengine. Fanya kile unachofanya na usijali kama watakipenda au la. Katika kitu chochote, watu watakuwa na maoni tofauti tofauti. (more…)

NENO LA LEO; Huu Ndio Ufunguo Wa Maisha, Na Sio Elimu.

By | March 23, 2015

“The key to life is accepting challenges. Once someone stops doing this, he’s dead.” ― Bette Davis Ufunguo wa maisha ni kuzikubali changamoto. Mtu atakapoacha kuzikubali changamoto, amekufa. Hakuna maisha ambayo hayana changamoto, kwa kifupi hakuna mtu ambaye hana matatizo. Ukiwa huna fedha unakuwa na matatizo, ukiwa na fedha unakuwa (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Chanzo Cha Nguvu Zako.

By | March 22, 2015

“Look well into thyself; there is a source of strength which will always spring up if thou wilt always look.” ― Marcus Aurelius Angalia vizuri ndani ya nafsi yako na utaona chanzo kikubwa cha nguvu ambacho kitaendelea kububujika kama utaendele  kukitumia. Kama unafikiri huna nguvu, kama unafikiri huna ujasiri basi (more…)

NENO LA LEO; Umuhimu Wa Kuchukua Hatari.

By | March 21, 2015

“Risk anything! Care no more for the opinion of others … Do the hardest thing on earth for you. Act for yourself. Face the truth." ― Katherine Mansfield, Kuchukua hatari ndio kila kitu. Usijali maoni ya wengine… Fanya vitu ambavyo ni vigumu sana kwako. Fanya mambo yako. Ukabili ukweli. Kuna (more…)

NENO LA LEO; Sio Lazima Ufanye Maamuzi Sahihi.

By | March 20, 2015

“I do not believe in taking the right decision, I take a decision and make it right.” ― Muhammad Ali Jinnah Siamini kwenye kufanya maamuzi sahihi, nafanya maamuzi kisha nayafanya yawe sahihi. Kuna wakati ambao unaacha kufanya maamuzi kwa sababu huna uhakika kama maamuzi hayo yatakuwa sahihi au la. Au (more…)

NENO LA LEO; Unachohitaji Kufanya Ili Dunia Nzima Ikukubali.

By | March 18, 2015

“Because one believes in oneself, one doesn’t try to convince others. Because one is content with oneself, one doesn’t need others’ approval. Because one accepts oneself, the whole world accepts him or her.”― Lao Tzu Kwa sababu mtu anajiamini mwenyewe, hajaribu kuwashawishi wengine. Kwa sababu mtu ameridhika na nafsi yake, (more…)