NENO LA LEO; Acha Kupoteza Nguvu Zako Kwenye Kitu Hiki Unachopenda Kufanya.

By | March 24, 2015
“Don’t waste your energy trying to change opinions … Do your thing, and don’t care if they like it.” ― Tina Fey, Bossypants Usipoteze nguvu zako kwa kujaribu kubadili maoni ya wengine. Fanya kile unachofanya na usijali kama watakipenda au la. Katika kitu chochote, watu watakuwa na maoni tofauti tofauti.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In