Tag Archives: UONGOZI

Dalili Kumi Kwamba Tayari Wewe Ni Kiongozi.

By | April 20, 2014

Kwenye makala zilizopita tumeona ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi. Pamoja na umuhimu huo sio watu wote ni viongozi na sio watu wote wataweza kuwa viongozi. Na hata ambao ni viongozi sio wote ni viongozi bora wanaotoa matokeo mazuri. Pia tumejifunza kwamba kiongozi anaweza kuzaliwa au kutengenezwa. (more…)

Makosa Makubwa Matano Yanayoweza Kukuharibu Wewe Kama Kiongozi.

By | April 13, 2014

Ili uweze kufanikiwa kwenye uongozi kuna mambo muhimu unatakiwa kuwa unafanya na pia kuna mambo mengine unatakiwa kuepuka kufanya. Katika makala zilizopita tumekuwa tukiangalia mambo muhimu ya kufanya ili kuweza kufanikiwa kwenye uongozi. Ili kuwa kiongozi mzuri ni muhimu kuwa na maono, ushawishi, ushirikiano na uadilifu. Kuwa na mpango mikubwa (more…)

Siri Kumi za Mafanikio Kwenye Uongozi.

By | April 6, 2014

Katika watu wengi wanaopewa nafasi za kuongoza kuna wachache sana ambao wanakuwa ni viongozi bora. Wengine wanaishia kuwa tu na majina ya uongozi ila wanashindwa kufanya mambo makubwa kupitia nafasi zao za uongozi. Mpaka unasoma hapa naamini unataka kuwa kiongozi bora. Ili uweze kupata mafanikio kwenye uongozi, kuna tabia kumi (more…)

Huhitaji Cheo Ili Kuwa Kiongozi.

By | March 30, 2014

Ni wakati gani unafikiri unahitaji kuanza kuonesha tabia za uongozi? Unapoambiwa umepewa nafasi ya kuwa meneja? Au unapoteuliwa kuwa mwakilishi wa watu au msimamizi wa sekta fulani? Yote hayo yanaweza kukupa nguvu ya uongozi ila hayawezi kukufanya kiongozi kama hukuwa kiongozi kabla. Na vibaya zaidi ni kwamba nguvu hii ya (more…)

Je Wewe ni Kiongozi au Mfuasi?

By | March 23, 2014

Duniani tuna makundi mawili ya watu, kuna kundi la kwanza ambapo watu hawa ni viongozi na kundi la pili ambapo watu hao ni wafuasi. Mara nyingi wanaofanikiwa sana na kufikia malengo waliyojiwekea ni wale waliopo kwenye kundi la viongozi. Viongozi huanzisha na wafuasi hufuata au kuiga, hii ndio inawafanya viongozi (more…)

Sifa Moja Muhimu Ambayo Kila Kiongozi Mkubwa Anayo.

By | March 16, 2014

Kwenye makala zilizopita tuliona ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuwa kiongozi kwenye maisha yake na shughuli anazofanya. Pia tuliona kwamba kila mmoja wetu anaweza kuwa kiongozi kama ataamua, iwe kwa kuendeleza sifa za uongozi zilizopo ndani yake au kwa kujifunza sifa za uongozi. Leo tutaangalia sifa moja muhimu ambayo (more…)