UKURASA WA 930; Dunia Haihitaji Mwongeaji Mwingine…

By | July 18, 2017
Dunia tayari ina waongeaji wa kutosha, wale ambao wanajua nini kinapaswa kufanya, wanaosema watafanya, lakini haifiki hatua wakakaa chini na kufanya au wakaonesha mfano namna gani ya kufanya. Hivyo dunia kwa sasa, haihitaji tena mwongeaji mwingine, badala yake inahitaji watu wa kufanya kitu, hata kama ni kitu kidogo kiasi gani.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In