UKURASA WA 952; Jifunze Kwa Wengine, Lakini Usiige Maisha Yao…

By | August 9, 2017
Njia bora kabisa ya kujifunza kuhusu mafanikio, ni kupitia wale ambao wameshafanikiwa. Kabla hujaanza safari yoyote, ni vyema ukaangalia nani ambaye amefanikiwa kwenye safari hiyo na kujifunza mambo muhimu kutoka kwake. Kupitia yeye utajua njia ipi nzuri kufuata na makosa yapi ya kuepuka kwenye safari hiyo. Kupitia wale waliofanikiwa, utaweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In