Author Archives: Makirita Amani

About Makirita Amani

Makirita Amani ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1865; Kabla Hujawa Tayari…

By | February 8, 2020

Ndiyo wakati sahihi kwako kuanza. Kwa sababu kama unasubiri mpaka uwe tayari ndiyo uanze, nina habari mbaya kwako, hutakuja kuanza, kwa sababu hakuna wakati ambao utakuwa tayari. Kabla hujaondoa kabisa hatari ndiyo wakati sahihi wa kufanya kitu, kwa sababu hakuna namna unaweza kuondoa kila aina ya hatari kwenye kitu. Kabla (more…)

1863; Yafanye Mambo Kuwa Rahisi…

By | February 6, 2020

Mpumbavu yeyote anaweza kuyafanya mambo kuwa magumu (compicated), inahitaji akili kuyafanya mambo kuwa rahisi (simplified). Chochote unachofanya, chochote unachojihusisha nacho, kifanye kiwa rahisi kwako na kwa wengine kukielewa. Unapotaka kuwashawishi watu kwa jambo lolote lile, lifanye kuwa rahisi kueleweka na watu hao. Siku za nyuma ilionekana ujanja ni kufanya mambo (more…)