3289; Kusubiri kuanza.

By | January 2, 2024
3289; Kusubiri kuanza.Rafiki yangu mpendwa,Kama kuna kitu ambacho unataka kukifanya, lakini kwenye kuanza unasubiri kwanza, hujakitaka kweli kitu hicho.Kadiri unavyosubiri kwa muda mrefu kuanza kufanya kitu, ndivyo inavyokuwa vigumu kuanza kukifanya na hata kupata mafanikio. Hiyo ni kwa sababu kusubiri kunapooza kitu na kuondoa ule msukumo na uharaka wa kuchukua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz