SIKU YA 29; Sheria Ya Uvumilivu Na Ung’ang’anizi Ili Kufiki Mafanikio Makubwa.

By | September 29, 2014
Kitu kikubwa kitakachokufikisha kwenye mafanikio sio muda, juhudi au uwezo. Kitakachokuwezesha kufikia mafanikio makubwa ni msukumo wa ndani ambao unaendeshwa na uvumilivu. Msukumo huu na uvumilivu ndio unaokuwezesha kutumia muda, juhudi na hata uwezo wako mkubwa kufikia mafanikio makubwa. Kuna vikwazo vingi sana kwenye safari ya mafanikio, bila ya uvumilivu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In