UKURASA WA 04; Unacho Kila Unachohitaji Ili Kufanikiwa.

By | January 4, 2015
Kama ningekuwa na mtaji, basi ningeanzisha biashara kubwa sana na sasa hivi ungekuta nimeshafanikiwa. Kama ningekuwa najuana na watu waliofanikiwa wangenipa connection na mimi ningeshatoka Kama ningezaliwa kwenye familia yenye uwezo kama John ungekuta na mimi sasa hivi nina nyumba, gari na biashara kubwa. Kama bosi wangu asingekuwa na roho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In