UKURASA WA 08; Nidhamu Ndio Nguzo, Ukiikosa Utaanguka.

By | January 8, 2015
Moja ya vitu muhimu unavyotakiwa kuwa navyo ili uweze kufikia mafanikio ni nidhamu. Kwa kuwa na nidhamu(hasa nidhamu binafsi) utaweza kuweka malengo na mipango yako mwenyewe na kisha kuweza kuitekeleza. Ukikosa nidhamu utajikuta unashindwa kutekeleza kile ulichopanga mwenyewe na mwishowe ukashindwa kufanikiwa. Mwaka huu 2015 amua kujijengea nidhamu binafsi, amua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In