UKURASA WA 09; MUDA–Kitu Chenye Thamani Kubwa Ila Kisichothaminika Na Wengi.

By | January 9, 2015
Muda ni kitu chenye thamani kubwa sana kwenye maisha yako. Poteza fedha hata iwe nyingi kiasi gani, unaweza kuitafuta tena. Ila ukishapoteza muda ndio imetoka, huwezi kuutengeneza tena hata kama ungekuwa na fedha kiasi gani. Kitu kingine muhimu ni kwamba muda ndio kitu ambacho binadamu wote tumepewa kwa usawa. Watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In