Hakuna Anayejua Anachofanya, Na Huo Ndio Uzuri Wa Maisha.

By | January 8, 2015
Huenda kuna wakati ambao unafika na unahisi hujui ni kitu gani unafanya kwenye haya maisha. Na mara nyingi hutokea pale unapokumbana na changamoto au matatizo. Hali hiyo inaweza kukufanya hata ukate tamaa. Leo nina habari nzuri kwako, haupo mwenyewe, binadamu wote hakuna anayejua anachokifanya hapa duniani. Yaani hakuna mwenye uhakika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz