Bado Huzioni Fursa Zinazokuzunguka? Jiulize Maswali Haya Matatu.

By | January 24, 2015
Maswali matatu muhimu ya kukusaidia kugundua fursa zinazokuzunguka. i. Ni kitu gani ambacho kinakupa msukumo mkubwa. Katika vitu vyote unavyofanya au unavyofuatilia kuna kimoja ambacho kinakupa hamasa kubwa. Ni kipi hiko? ii. Je una vipaji gani? Ni vitu gani ambavyo umekuwa unapendelea kufanya tangu ukiwa mdogo. Ni kitu gani ukikifanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In