NENO LA LEO; Usiache Jiwe Lolote Halijageuzwa…

By | January 25, 2015
“Leave no stone unturned.” Euripides Usiache jiwe lolote halijageuzwa. Katika kufikia mafanikio ni lazima ujaribu kila njia inayowezekana. Usiwe rahisi kukata tamaa baada ya kushundwa mara chache. Komaa na hakikisha kila njia inayowezekana umeifanyia kazi. Usiache hata jiwe moja halijageuzwa, huenda jiwe hilo ndio lina hazina yako. Nakutakia siku njema.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In