UKURASA WA 24; Kila Kitu Kina Gharama…

By | January 24, 2015
Mtu mmoja mwenye mafanikio aliwahi kuulizwa ni ipi siri ya mafanikio ambayo unaweza kumshauri mtu yeyote na yeye akafanikiwa? Mtu yule alijibu ili kuwa na mafanikio kwenye maisha, bila ya kujali unaanzia wapi unahitaji vitu viwili; 1. Kujua ni nini unataka. 2. Kujua gharama unayotakiw akulipa na kuwa tayari kuilipa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In