UKURASA WA 25; Hakuna Njia Ya Mkato…

By | January 25, 2015
Akija mtu na kukuambia kuna njia ya mkato ya kufikia mafanikio, kimbia haraka sana na usiendelee kusikiliza. Maana ukiendelea kusikiliza unaweza kujikuta umeshaanza kushawishika. Hakuna nia ya mkato ya kufikia mafanikio, na kama ipo mafanikio utakayoyapata hayatadumu. SOMA; Sheria 12 Kwa Wanaoanza Biashara Kutoka Kwa Bilionea Mark Cuban. Kila kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In