Yako Wapi Yale Maisha? Ni Wakati Wa Kulipa Deni Sasa.

By | January 26, 2015
Kila mtu alipokuwa mdogo alikuwa na picha kubwa sana ya maisha yake. Ulipokuwa mdogo mtu akikuuliza unataka kuwa nani ulikuwa unajibu bila ya wasi wasi wowote kile unachotaka kuwa. Ulikuw ana picha kubwa ya maisha yako, vile unataka yawe na kile unachotaka kutoa. Safari ikaendelea na mahala fulani mambo yakabadilika.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In