UKURASA WA 30; Nenda Hatua Ya Ziada…

By | January 30, 2015
Mafanikio yana upendeleo mmoja, yanaenda kwa watu ambao wanafanya mambo kwa ubora wa hali ya juu sana. Hawa ni watu wameamua kwenda hatua ya ziada kwenye jambo lolote wanalofanya. Hawakubali tu kufanya kama kila mtu anavyofanya. Watu hawa wanajua unapokwenda hatua ya ziada unajijengea nafasi kubwa ya kufikia mafanikio makubwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In