Ni Muda Unaenda Haraka Au Wewe Unaenda Taratibu?

By | February 1, 2015
Kufumba na kufumbua mwezi wa kwanza hatunao tena… Tuko mwezi wa pili na siku sio nyingi tutauanza mwezi wa tatu. Ni majuzi tu tulikuwa tunasherekea mwaka mpya, sasa hivi ni kama umechakaa. Muda unakwenda haraka eh? Hiki ndio kila mtu anachosema, kwamba muda unakwenda haraka sana. Lakini je ni kweli?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In