UKURASA WA 32; Mambo Yanapokuwa Magumu…

By | February 1, 2015
Mambo yanapokuwa magumu, huu ni uhakika, yatakuwa magumu, unafanya nini? Umeshaweka malengo na mipango yako vizuri. Umeshajitoa kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Umekazana kwa juhudi zako zote, umekuwa mvumilivu lakini mambo hayae kabisa, huoni mabadiliko yoyote. Unafanya nini? Unakubali kwamba lengo hili haliwezekani na hivyo unaachana nalo? Kosa kubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In