UKURASA WA 35; Usijaribu Kumfurahisha Kila Mtu.

By | February 4, 2015
Kama umewahi kusikia hadithi moja ambapo mtu na mke wake walikuwa wanasafiri jangwani na wameoanda ngamia. Wakapishana na watu ambao walisema watu hawa wana roho mbaya sana, wanampanda ngamia mmoja watu wawili? Waliposikia vile, mwanaume akamwambia mke wake ashuke na atembee kwa miguu, yeye akabaki amepanga. Walikutana na watu wengine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In