Kauli KUMI Za Confucius Zitakazokuhamashisha Kuboresha Maisha Yako.

By | February 5, 2015
Confucius alikuwa mwalimu, mwandishi, mwanafalsafa na mwanasiasa wa China. Alikuwa akiandika falsafa zinazohusu maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Leo utajifunza kauli kumi kutoka kwake zitakazokuhamasisha kuchukua hatua na kuboresha maisha yako. 1. Choose a job you love and you will never have to work a day in

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In