SIRI YA 6 YA MAFANIKIO; Tumia Nguvu Yako Kuchagua.

By | February 5, 2015
Haijalishi upo katika hali gani, unayo nguvu ya kuchagua ni jinsi gani hali hiyo itakuathiri. Una nguvu ya kuchagua watu unaotaka kushirikiana nao. Una nguvu yankuchagua jinsi utakavyotumia muda wako. Una nguvu ya kuchagua ni vitabu gani usome. Una nguvu ya kuchagua ni hatua gani utachukua dakika tano zijazo ili kujisogeza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In